ASUS recommends Windows 10 Pro for business.

  ASUS ZenBook Flip S UX370UA

  Kompyuta pakato nyembamba sana inayobadilika duniani
  Muundo
  Nyembamba-sana na nyepesi
  10.9mm
  nyembamba-sana
  1.1kg
  nyepesi-sana
  Fahamu zaidi kuhusu Muundo
  Imara kimuundo: aloi ya kiwango cha vifaa vya anga za juu
  * Chaguo la rangi ya Bluu ya Kifalme tu.
  Nguvu ya Kukabili Kuvunjika (Mpa)
  Uwezo wa hali ya juu wa kujongea
  Muundo
  Imetengenezwa kwa ukamilifu
  * Chaguo la rangi ya Bluu ya Kifalme tu.
  Fahamu zaidi kuhusu Ufundi
  Teknolojia ya anzilishi, muundo maarufu duniani
  hatua 40
  za umaliziaji maalumu wa chuma
  Umbo
  lote limejengwa kwa chuma
  Kwa awamu mbili
  kingo zake za dhahabu zimefunikwa.
  Rangi ya halisi na za kifahari
  Bawaba
  Bawaba ya kipekee ya 360 ° ya ErgoLift
  360°
  Bawaba ya ErgoLift
  Zaidi ya
  mizunguko20,000
  ya jaribio la bawaba
  Fahamu zaidi kuhusu bawaba ya ErgoLift
  Ina matumizi mbalimbali na inadumu
  Utendaji kazi wa kibunifu wa ErgoLift
  Bawaba imara zaidi duniani
  Kioo Onyeshi
  Muonekano wa 4K UHD
  Hadi
  3840 X 2160
  Kioo onyeshi cha 4K UHD
  331ppi
  msongamano wa pikseli
  80%
  uwiano wa skrini hadi kwenye kiunzi
  178°
  teknolojia ya mwonekano mpana
  Fahamu zaidi kuhusu Kioo onyeshi
  Kioo onyeshi cha NanoEdge
  * Inapatikana kutokana na eneo la kiunzi linaloonekana.
  80 %
  uwiano wa skrini hadi kwenye kiunzi
  ASUS TruVivid
  Hadi
  8 %
  kung'aa kwa kioo onyeshi
  Paneli ya LCD (WV & 300nits & 72% NTSC) LOCA glue Paneli ya kugusa ya OGS Kifuniko cha Corning Gorilla
  Uhusiano wa jadi
  ASUS TruVivid uhusiano wa moja kwa moja
  Ipeleke hadi mwisho
  Ukinzani wa kiumbo
  10 X
  bora kuliko kioo cha soda-lime
  Mionekano yenye uhalisia mkubwa
  Picha halisi
  Picha inayopatikana
  Utendaji
  Utendaji wa kushangaza
  Windows 10 Home
  Hadi
  Corei7
  Intel CPU
  Kukuza hadi
  3.5GHz
  frikwensi
  Hadi
  1TB
  SSD ya PCIe Gen 3
  3X
  ya kasi zaidi kuliko SSD ya SATA3
  Hadi
  16GB
  RAM
  Yenye kasi kubwa ya
  2133MHz
  RAM
  Fahamu zaidi kuhusu Utendaji
  Processor ya kizazi cha 7 ya Intel Core i7
  * Matokeo ya jaribio la alama teule la 3DMark 11.
  1.03 X
  ya kasi zaidi kuliko HP Specter x360
  1.48 X
  ya kasi zaidi kuliko MacBook
  1.92 X
  ya kasi zaidi kuliko Dell XPS 13 2-in-1
  ZenBook Flip S UX370 HP Spectre x360 MacBook Dell XPS 13 2-in-1
  P1739 P1687 P1173 P905
  Kusubiri kidogo, kazi zaidi
  1.73 X
  ya kasi zaidi kuliko PCIe x2
  3.5 X
  ya kasi zaidi kuliko SATA 3 SSD
  21X
  ya kasi zaidi kuliko SATA 3 HDD
  ZenBook Flip S UX370
  NVMe PCIe® x4 Gen 3 SSD
  MacBook Mpya
  PCIe ® SSD x 2
  SATA 3 SSD SATA 3 HDD
  1840MB/s 1058MB/s 520MB/s 85MB/s
  Hifadhi data yenye kasi kubwa, bora kwa ajili ya kufanya kazi nyingi kwa pamoja
  16 GB
  RAM
  2133 MHz
  RAM yenye kasi sana
  1.13 X
  ya kasi zaidi ya RAM ya 1866MHz
  ZenBook Flip S UX370
  2133 MHz
  MacBook Air
  1600 MHz
  MacBook
  1866 MHz
  25.28GB/s 16.63GB/s 22.35GB/s
  Kwenda bila mipaka
  * Dual-band 2x2 802.11ac ikilinganishwa na 1x1 802.11n.
  802.11ac
  6 X
  ya kasi zaidi ya 802.11n *
  2 X 2
  dual band Wi-Fi
  Hadi
  867Mbps
  ya kasi
  802.11ac
  (867Mbps)
  802.11n
  (150Mbps)
  Imepoa sana
  0.5 mm
  chumba cha mvuke
  0.3 mm
  pangaboi la liquid-crystal polymer
  Usanidi
  Kibodi yenye taa ya utendaji bora wa kazi
  1.0 mm
  mwachano wa kitufe
  19.85 mm
  umbali wa kitufe hadi kitufe
  kibodi yenye taa
  Fahamu zaidi kuhusu Tachipadi
  Tachipadi laini na ishara maizi
  Inafanya kazi na Smart gesture
  kubofya
  kubofya-kushoto
  kuvuta
  kuchagua eneo
  kugonga
  kubofya-kulia
  kupandisha na kushusha ukurasa
  juu na chini
  kukuza / kupunguza
  mfinyo wa vidole viwili
  kugonga kwa vidole 3
  fungua Cortana
  Kusukuma kwa vidole 3 (l / r)
  badilisha desktopu
  kugonga kwa vidole 3
  fungua mwonekano wa kutekeleza kazi
  kusukuma kwa vidole 3 kwenda chini
  onyesha deskitopu
  kugonga kwa vidole 4
  mwambaa wa vitaarifu popu
  Kusukuma kwa vidole 4 (l / r)
  badilisha desktopu
  Muunganisho
  USB-C Inayofanya kazi kikamilifu
  45W
  ya utoaji wa nishati
  5Gbps
  uhamishaji wa data
  Inafanya kazi na
  Vioo onyeshi vya
  2 4K
  Uhamishaji wa data wenye kasi zaidi
  5Gbps
  0.5Gbps
  Muunganisho
  Fanya kazi kwa muda mrefu, chaji kwa muda mfupi
  39 Wh
  betri ya li-polymer
  Hadi
  saa 10.5
  za maisha ya betri
  Kuchaji kwa haraka
  60 %
  kwa dakika 49
  Fahamu zaidi kuhusu Muunganisho
  Kuendelea papo hapo na Modern Standby
  3 X
  ya kuendelea kwa haraka
  Sauti
  Sauti halisi ya Harman Kardon
  njia - 2
  Smart AMP
  Harman Kardon
  wameithibitisha
  Fahamu zaidi kuhusu Sauti
  Siri ya muundo bora wa spika
  2 X
  sumaku kubwa zaidi
  1.5 X
  koili kubwa ya sauti
  3 X
  sponji kubwa zaidi ya kukabili mtetemo
  Programu
  Kalamu ya ASUS na Windows Ink
  1024
  ya viwango vya mgandamizo
  10-300 g
  nguvu ya ncha-ya-kalamu
  Fahamu zaidi kuhusu Kufanya kazi na Stylus
  Mguso wa usahihi
  Programu
  Mguso mmoja ukiwa na Windows Hello
  kihisi alama za vidole
  Kihisi alama za vidole
  Programu
  Imeboreshwa kwa ajili ya utendaji tulivu na wenye uwiano
  Pakua driver na programu maalumu za ZenBook Flip S
  Quiet fan imewashwa
  Quiet fan imezimwa
  Kelele ya ziada imepunguzwa
  Quiet Fan imewashwa Quiet Fan imezimwa 20dB 35dB
  Vifaa
  Imeunganishwa kikamilifu
  * Kifurushi cha vifaa hutofautiana kulingana na eneo. Sleeve na Universal Dock ni vifaa vya hiari, na huenda vikauzwa tofauti kwenye maeneo fulani.
  USB-C 3.1
  USB 3.0
  HDMI
  VGA
  RJ45 LAN
  Kisoma kadi ya SD 3-kwenye-1
  * Kuanzia Mei 1, 2017 kwa kuzingatia uchambuzi wa soko la ndani la kompyuta pakato za ASUS zinazobadilika za 2-kwenye-1 zenye vigezo muhimu vya ushindani: mfumo endeshi wa Windows au OS X; unene unaopimwa kwenye z-urefu; processor ya Intel® Core ™; kibodi isiyotoka.