ASUS recommends Windows 10 Pro for business.

  ASUS ZenBook Flip S UX370UA

  ASUS ZenBook Flip S (UX370UA)
  Kumalizia / Rangi

  ASUS ZenBook Flip S (UX370UA)

  Bluu ya Kifalme, Kijivu ya Moshi

  Iliyoundwa kwa alumini bora ya aloi
  (yenye nguvu zaidi kuliko aloi ya kawaida kwa 50%)

  Mfumo wa Uendeshaji

  Windows 10 Pro
  (ASUS inapendekeza Windows 10 Pro)

  Windows 10 Home

  Processor

  Processor ya Intel® Core ™ i7-8550U

  1.8GHz Quad-core yenye Turbo Boost (hadi 3.7GHz) na 8MB za cache

  Processor ya Intel® Core™ i7-7500U

  2.7GHz dual-core yenye Turbo Boost (hadi 3.5GHz) na 4MB za cache

  Processor ya Intel® Core™ i5-8250U

  1.6GHz Quad-core yenye Turbo Boost (hadi 3.4GHz) na 6MB za cache

  Processor ya Intel® Core™ i5-7200U

  2.5GHz dual-core yenye Turbo Boost (hadi 3.1GHz) na 3MB za cache

  Picha

  Intel® Jumuishi Picha za UHD 620

  Kioo Onyeshi

  13.3” taa za LED HD Kamili (1920 x 1080) / 4K UHD (3840 x 2160)

  Kiwango cha uchangamshaji 60Hz, upana 100% sRGB wa upeo wa rangi

  Teknolojia ya mwonekano mpana wa 178°

  Kioo cha Corning® Gorilla®

  Teknolojia inayolinda macho ya ASUS Eye Care inayopunguza mwanga wa bluu hadi 30%

  Bezel nyembamba ya upana wa 6.11mm yenye uwiano wa 80% wa kioo na sehemu nyingine ya kifaa inayobakia

  Kumbukumbu

  Ina 8GB/16GB 2133MHz LPDDR3

  Kihifadhi Data

  256GB SATA3 SSD

  512GB SATA3 SSD

  512GB PCIe® SSD

  1TB PCIe® 3.0 x 4 SSD
  (ina kasi kubwa mara 3 zaidi kuliko SATA3 SSD)

  Violesura

  2 x USB 3.1 Gen 1 USB-C™

  Ikimudu:

  Upokeaji wa nishati (60% kwa dakika 49 )

  Uhamishaji wa data (hadi 5Gbps)

  Kioo Onyeshi kinatoa (4K UHD-iliyotayari)

  Kihisi alama za vidoleUSB 3.1USB 3.1
  Kibodi na Tachipadi

  Kibodi

  Taa za ukubwa kamili, zenye muachano wa kitufe wa 1.0mm

  Tachipadi

  Kioo kilichofunikwa na:

  Uwezo wa hali ya juu wa kukataa kiganja

  Tachipadi yenye usahihi (Precision touchpad - PTP) inamudu hadi ishara nne za kidole

  Kihisi alama za vidole

  Imewekwa kwa upande ili ifikiwe kirahisi

  KibodiTachipadi
  Sauti

  Mfumo madhubuti wa spika 2 wa ASUS SonicMaster pamoja na maboresho ya sauti katika mazingira yanayoizunguka.

  maboresho ya sauti katika mazingira yanayoizunguka

  Imethibitishwa na Harman Kardon

  Amplifaya maridadi kwa ajili ya ufanisi mkubwa wa sauti

  Kipaza sauti chenye utambuzi wa sauti wa Cortana

  Tundu la headphone la 3.5mm

  Kamera

  Kamera ya VGA ya Mtandao

  Uunganishaji wa Wireless

  Wi-Fi

  Inamudu 802.11ac Wi-Fi; IEEE 802.11 a/b/g/n

  Bluetooth®

  Bluetooth® 4.1

  Betri na Umeme

  Betri inayodumu hadi kwa saa 10.5

  Betri zenye seli za 39Wh 2 za lithium-polymer

  Teknolojia ya kuchaji haraka: 60% kwa dakika 49

  Adapta ya umeme ya 45W USB-C™
  (Inatoa: 19V DC, A, 45W)
  (Inaingiza: 100-240V AC, 50/60Hz zote)

  Uzito na Vipimo

  Urefu: 1.09 cm (0.43 inchi)

  Upana: 31.3 cm (12.32 inchi)

  Kina: 21.8 cm (8.58 inchi)

  Uzito: 1.1 kg (2.42 paundi)

  31.3 cm
  (Inchi 12.32)
  21.8 cm
  (Inchi 8.58)
  1.09 cm
  (Inchi 0.43)
  Vilivyoko kwenye Boksi

  ASUS ZenBook Flip S (UX370UA)

  Mwongozo mdogo ASUS (ya hiari)

  Kalamu ya Stylus (ya hiari)

  Kitambaa Cheusi (ya hiari)

  Programu Zilizojumuishwa

  ASUS Mng'ao

  Kilinda Macho cha ASUS

  ASUS Tru2life Video

  ASUS AudioWizard

  Inamudu vipengele vipya vya Windows 10: Windows Ink, Windows Hello, Modern Standby, Cortana