ASUS recommends Windows 10 Pro for business.

  ROG GL753VD

  URITHI WA ROG UNAENDELEA
  CHAPA NAMBA 1 YA UCHEZAJI WA MICHEZO YA KOMPYUTA ULIMWENGUNI
  Wanasema nini kuhusu ROG
  PC GAMER
  "Kompyuta pakato bora ya michezo ya kompyuta."
  DIGITAL TRENDS
  "Kifaa hiki cha kucheza michezo ya kompyuta ni bora kuliko vyote, uchezaji wenye nguvu unaopatikana kwenye kifaa hiki unatakiwa usiwe halali kisheria!"
  ENGADGET
  "Uwezo mpya wa michezo ya kompyuta wa ASUS ni kila kitu unachoweza kukitaka kwenye kompyuta pakato ya michezo ya kompyuta yenye ukubwa wa ziada. Ina nguvu sana, imeundwa vizuri na imejengwa kwa teknolojia ya hivi karibuni na kubwa zaidi ya picha. "
  TECHNEWS DIRECTORY
  Kitu kingine kidogo kuhusu mashine hiyo ni ubora wa hali ya juu wa kibodi thabiti, spika za sauti kubwa, skrini inayoonyesha picha za Ubora Kamili wa Hali ya Juu za michezo ya kompyuta.
  NOTEBOOKCHECK
  “Asus imejikita kwenye faida hii hata zaidi kwa ajili ya kutoa notebook yenye nguvu zaidi. Joto liko chini kwenye mazingira yake ya nje na siyo CPU au GPU itakayopata shida wakati wa michezo ya kompyuta.”
  KIFAA CHA MOTO
  "Sifa za kompyuta pakato korofi ya ASUS ROG GX700 ya kuchezea michezo ya kompyuta inayopoozwa kwa maji zitafanya desktopu nyingi zibaki nyuma."
  MABINGWA BORA, WAKIWA NA 40% YA SOKO
  ROG IMESHINDA
  TUZO6,726
  ULIMWENGUNI KOTE TANGU 2006
  Na mengine mengi!
  MAJARIBIO YALIYOKITHIRI
  JARIBIO LA OVERCLOCKING
  Overclocking huweka changamoto nyingi kwenye sehemu za mfumo wa kompyuta, mara nyingi husababisha ipate moto zaidi. Kompyuta pakato na desktopu za ASUS ROG huwekwa kwenye majaribio mengi ya joto kwa kutumia boksi maalumu la joto ili kuhakikisha zinakidhi matarajio na viwango vya juu vinavyotakiwa na ASUS.
  JARIBIO LA MGANDAMIZO
  Paneli za ubora wa hali ya juu ni lazima ziweze kuhimili eneo dogo kama masanduku ya nguo bila kuharibika, jaribio la mgandamizo wa paneli huhakikisha ASUS ROG Notebooks zinatumia paneli bora pekee.
  JARIBIO LA MTETEMO
  Kusafiri kwenye barabara mbaya, baadhi ya kompyuta zinaweza kuanza kusambaratika. Lakini siyo Notebook zetu za ASUS ROG! Jaribio kali la mtikisiko huhakikisha kuwa sehemu zinabaki mahali pake na utendaji unabaki ule ule hata kama kila kitu kimeanza kutikisika!
  JARIBIO LA KUSOKOTA
  Jaribio la kuzungusha hukagua ukunjikaji wa kiunzi. Kunyakua notebook kwa mkono mmoja? Hakuna tatizo, jaribio hili hupima uvumilivu wa nguvu ya kusokotwa ili kukupa uvumilivu unapotumia Notebook za ASUS ROG.
  JARIBIO LA JOTO
  Kutoka joto la chini hadi joto la juu, tunapima kila hali ya uendeshaji ikiwa ni pamoja na unyevu kwa ajili ya matokeo sahihi. Hivyo Notebook za ASUS ROG zinaweza kufanya kazi kwenye kila hali ya joto inayowezekana.
  JARIBIO LA KIBODI
  Jisifu kwa ujasiri kutokana na majaribio yaliyokithiri ya kudumu kwa kibodi, ambapo roboti maalumu hubonyeza kila kitufe ili kuona mrejesho wake na uwezo wa kudumu hata kwenye uingizaji wa kikorofi wa data unaoweza kutokea!
  JARIBIO LA KELELE
  Jaribio la kelele ya mkwaruzo hukagua feni yenye sauti kubwa, hazina data, au hata nguvu inayosababishwa na mngurumo, kurekebisha vitu hivyo ili kutengeneza Notebok za ROG ambazo ziko kimya. Kiunzi chote hupitia marekebisho ya sauti ili kutoa sauti bora kadri iwezekanavyo.
  JARIBIO LA KUDONDOKA
  Ubora wa ASUS unamaanisha kwamba Notebook za ROG zinaweza kuhimili kudondoka bila kusababisha uharibifu wowote wa vifaa vya ndani au muundo wa nje, zaidi ya kiwango cha wastani cha kuhimili kuanguka cha tasnia husika.
  JARIBIO LA UONGEZAJI KASI
  Jaribio la HALT linamaanisha Highly Accelerated Life Test (Jaribio la Maisha lililoongezwa kasi), na huhusisha kuzipitisha notebook kwenye matatizo kadhaa kwenye maisha yake, ikihusisha uchambuzi wa hali ya juu wa kihandisi.
  JARIBIO LA MKWARUZO
  Jaribio la kuhimili mkwaruzo huiweka Notebook ya ASUS ROG kwenye mkwaruzo wa nje, kudhibitisha kuwa rangi na vifaa vyake vya nje vinabaki katika hali nzuri hata baada ya matumizi makubwa na ya kiharibifu.
  JARIBIO LA MSHTUKO
  Jaribio la mshituko hutengeneza tukio au tatizo linaloweza kutokea wakati wa usafirishaji. Kwenye ASUS, wahandisi wetu wanahakikisha kuwa Notebook za ASUS ROG zinastahimili hili bila tatizo la utendaji.
  JARIBIO LA KIWANGO CHA JUU LA BAWABA
  Bawaba za kifuniko cha Notebook ni sehemu dhaifu. Hutumia malighafi rahisi na huvunjika. Jaribio la bawaba la kiwango cha juu hutekeleza maelfu ya ufunguaji na ufungaji wa bawaba hizo, kuhakikisha zinadumu kwa muda mrefu.
  JARIBIO LA TUNDU
  Jaribio la tundu huhakikisha kuwa viungio na plagi zote zinamudu unganishwaji na utenganishwaji wa mara kwa mara wa aina mbalimbali bila kupoteza ubora wake.
  Chunguza zaidi
  IMEUNDWA NA WACHEZA MICHEZO YA KOMPYUTA MAHIRI
  Inapendekezwa sana na wacheza michezo ya kompyuta mahiri
  GRUBBY
  “Jamhuri ya wacheza michezo ya kompyuta ina aina mbalimbali za bidhaa bora ambazo zimeundwa kwa kumzingatia mcheza michezo ya kompyuta. Wacheza michezo ya kompyuta kama mimi mwenyewe - pamoja na mashindano ya kitaalamu ya eSports - hutumia ROG kwa sababu vifaa vyao vinakidhi, ya vinaaminika, na vya kimaridadi.”
  © Manuel "Grubby" Schenkhuizen, bingwa wa dunia mara sita kwenye WarCraft III.
  AHQ
  LOL
  “ROG x AHQ - Ni wakati wa kushinda eSports!”
  J Team
  LOL
  “ROG - Kifaa Bora Duniani cha Michezo ya Kompyuta.”
  TYLOO
  CS: GO
  “Utendaji wa ajabu wa ROG kwenye michezo ya kompyuta hutupa faida kwenye CS: GO.”
  All Gamers
  LOL
  "ROG kama silaha zetu za michezo ya kompyuta, tunafaidi mwanzoni kabisa."
  VICI GAMING
  dota 2
  “Tunapocheza DOTA2, ROG ni kama shujaa. Inatufanya kuwa tusiozuilika.”
  FEMALE FIGHTERS
  CS: GO
  “Notebook ya ROG ni chaguo bora sana kwa ajili ya kampuni yetu wakati wa mashindano, inatusaidia kufanya mazoezi kabla ya kwenda kucheza mashindano.”
  NXL
  CS: GO
  “Ikiwa unazungumzia kompyuta ya kucheza michezo ya kompyuta kwa ajili ya kucheza CS: GO na michezo mingine ya kiwango cha juu, unapaswa kujaribu ROG Strix GL502VT, ndiyo kila kitu.”
  LDLC
  CS: GO
  "ROG - Sogeza mipaka yako."
  ROG ARMY
  LOL
  "ASUS ROG ARMY - Tuko tayari kuwa namba 1."
  MSHIRIKA RASMI WA MICHEZO YA KOMPYUTA
  Mashindano ya esports ya juu ulimwenguni
  SILAHA YENYE NGUVU YA KUCHEZA MICHEZO YA KOMPYUTA
  Vipengele vya juu vya michezo ya kompyuta kwa ajili ya wacheza michezo ya kompyuta mahiri
  ROG
  HyperDrive NVME
  PCIe SSD
  Mpangilio wa rangi
  Armor Titanium na
  Plasma Copper
  Teknolojia ya
  ROG Hyper Cool
  Matoleo ya GTX 10
  NVIDIA® GeForce®
  Intel® Core i7
  7th gen
  ‘Kaby Lake’ CPU
  Thunderbolt
  Aina-C
  30-Key rollover
  anti-ghosting key
  Kibodi
  ROG MechTAG
  Hadi
  DDR4 64GB
  VR tayari
  ESS DAC
  na amplifaya
  Wizadi ya Sauti ya
  ROG
  ROG Aura
  ROG
  Game First IV
  Inatoa
  4K2K
  Hadi
  4K UHD halisi +
  NVIDIA® G-SYNC
  Teknolojia ya
  ASUS Mng'ao
  Uangavu mkubwa
  paneli ya 120hz
  Paneli ambayo haina
  mng'ao mkali
  ROG
  Turbo Gear
  ROG
  Sonic Studio II
  & Sonic Radar II
  XSplit
  GameCaster II
  JEDWALI LA SIFA ZA BIDHAA
  UDHAMINI WA KIMATAIFA YA ASUS
  * Masharti yanaweza kutofautiana baina ya nchi moja na nyingine
  AUSTRIA
  0820-240513
  AUSTRALIA
  1300-2787-88
  BANGLADESH
  +88-02-8123283
  BELGIUM
  +32-0-78150231
  BULGARIA
  +359-2-91823
  CANADA
  +1-888-678-3688
  CHINA
  +86-21-5442-1616
  CROATIA
  +385-1-3654-961
  JAMUHURI YA
  CHEKI
  +420-596-766-888
  DENMARKI
  +45-3832-2943
  MISRI
  +202-2455-5771
  +201-0077-9092
  ESTONIA
  +372-6671796
  UFINI
  +358-9693-79690
  UFARANSA
  0821-232787
  UJERUMANI
  01805-010920
  UGIRIKI
  80044142044
  HUNGARIA
  +36-15-054-561
  HONGKONG
  +852-3582-4770
  INDIA
  +91-22-4005-8888
  INDONESIA
  +62-1-500-128
  ISRAELI
  +972-3-9520520
  +972-3-9009018
  ITALIA
  199400089
  JAPANI
  0800-123-2787
  KOREA
  KUSINI
  +82-2-1566-6868
  LATVIA
  +371-7-408838
  LITHUANIA
  +370-37-328442
  LUXEMBOURG
  +31-0591-570290
  MAURITANIA
  +230-2131518
  MYANMAR
  +95-1-226664
  UHOLANZI
  0800-023-2694
  NEW
  ZEALAND
  0800-278-788
  NORWEI
  +47-2316-2682
  PAKISTAN
  +9221-5824561
  UFILIPINO
  +63-2-7273009
  POLAND
  +48-225718040
  URENO
  +351-808-789-887
  ROMANIA
  800-800-316
  URUSI
  +7-495-231-1999
  SAUDIA

  +966-1-460-3216
  SERBIA
  +381-11-3011-934
  JAMUHURI YA
  SLOVAKIA
  +421-232-162-621
  SLOVENIA
  +386-0800-80-332
  AFRIKA
  KUSINI
  +27-11-783-5450
  HISPANIA
  +34-902-889-688
  SRI LANKA
  +94-11-2502533
  USWIDI
  +46-8587-69407
  TAIWANI
  0800-093-456
  THAILANDI
  +662-679-8367 ~ 70
  UTURUKI
  +90-216-521-4601
  UKRAINE
  +380-44-4961791
  UMOJA WA FALME ZA KIARABU
  +971-4-2833-728
  UINGEREZA
  +44-870-120-8340
  MAREKANI

  +1-888-678-3688
  VIETNAM
  +84-8-8300446
  Nje.112
  MALAYSIA
  +603-2148-0827
  +603-21419379
  +604-6596780
  +604-6596782
  USWISI
  +41-848-111-014
  (Kijerumani / Kifaransa)
  +41-848-111-010
  (Kiitaliano)