ASUS recommends Windows 10 Pro for business.

  ROG GL753VD

  CHEZA MICHEZO YA KOMPYUTA BILA VIZUIZI

  ROG Strix GL753 inakuja na Windows 10 ikiwa tayari imewekewa tabia za processor ya Intel® Core ™ i7 ya kizazi cha 7, picha NVIDIA® GeForce® GTX 1050 na uwezo kamili wa Microsoft® DirectX® 12 ili kukupa utendaji wenye nguvu na picha bora za michezo ya kompyuta.

  IMEKAMILIKA KWA AJILI YA KILA MCHEZO WA KOMPYUTA NA KWA MAUDHUI YOYOTE

  ROG Strix GL753 inakuja na Windows 10 ikiwa tayari imewekewa uwezo wa kukupa ufanisi kwenye michezo ya kompyuta kwa kupitia processor ya Intel® Core ™ i7 ya kizazi cha 7 na picha za kipekee za NVIDIA® GeForce® GTX 1050. ROG Strix GL753 imetengenezwa kwa ajili ya michezo ya kompyuta na ikafanywa bora kwa ubunifu. Ni wakati wa kufurahia michezo ya kompyuta na programu mbalimbali kwa namna ambayo haijawahi kutokea kabla!

  2.5mm
  Mwachano
  30
  (N-) Mtandazo wa batani
  Imetenganishwa
  Vitufe vya Mishale

  TAWALA KILA KITU

  ROG Strix GL753 ina kibodi iliyotengenezwa vizuri kwa ajili ya michezo ya kompyuta ikiwa na mwanga wa RGB na vitufe vilivyokatwa vizuri vikiwa na mwachano wa 2.5mm Pia ina vitufe vya WASD vilivyobainishwa ili uweze kujua mahali ambapo mikono yako inapotakiwa kuwa. Zaidi ya hayo, kitufe kikubwa zaidi cha nafasi pamoja na vitufe vya mishale vilivyotenganishwa ili kuhakikisha kuwa kila kitu unachokihitaji kiko mahali ambapo unaweza kupafikia kirahisi.

  2.5mm
  Mwachano
  30
  (N-) Mtandazo wa batani
  Imetenganishwa
  Vitufe vya Mishale

  USANIFU MAHIRI WA JOTO

  Cooling Overboost ya kipekee ya ROG inakuruhusu kurekebisha kasi ya feni, na imeundwa kwa muundo wa hali ya juu wa kukabili joto ili kuipa ROG Strix GL753 uimara unaohitajika kwa ajili ya uchezaji mkubwa wa michezo ya kompyuta.

  Mwonekano mpana
  Pembe
  FHD
  Mwonekano
  Isiyong'aa
  Paneli

  MIONEKANO INAYOVUTIA SANA

  ROG Strix GL753 ina paneli ya HD Kamili yenye upana wa 17.3-inch ikiwa na mwonekano mpana wa pembe za kutazamia. Paneli hii inahakikisha inakupa ulinganifu wa uangavu na rangi, hakuna badiliko la rangi hata kama unatazama ukiwa kwenye mkao mbaya. Ina umaliziaji usiong'aa pia, kwa hiyo hakuna muakisi unaowaka kukuvuruga unapocheza michezo ya kompyuta.

  Mwonekano mpana
  Pembe
  FHD
  Mwonekano
  Isiyong'aa
  Paneli

  HADI 32GB ya DDR4

  ROG Strix GL753 inakuja na 32GB ya DDR4 ya kiwango cha wastani ili kukupa kasi kubwa, kuongeza nafasi ya kumbukumbu, na ufanisi wa ajabu wa nishati.

  Tundu la USB Aina ya C™

  Tundu la USB Aina-C inayoweza kupinduliwa inakuwezesha kuunganisha vifaa vyako kwa urahisi na kasi kubwa ya kuhamisha data.

  TABIA RAFIKI KWA AJILI YA-KUSTRIMU DATA

  ROG Strix GL753 imetengenezwa tayari kwa ajili ya kucheza michezo ya kompyuta na ina uwezo wa kukuwezesha kushirikisha na kustrimu michezo yako ya kompyuta kwa marafiki au watazamaji wako. Kipaza sauti chake husaidia kuchuja kelele zisizotakiwa kwa ajili ya kurekodi sautinzuri zaidi.

  KITUO CHA KUCHEZA MICHEZO YA KOMPYUTA CHA ROG

  Kituo cha Michezo ya kompyuta cha ROG kinaboresha uzoefu wako wa michezo ya kompyuta. Kituo hiki kinakuwezesha kufikia kazi zote unazozihitaji kwa kupitia dashibodi moja — pata tarifa kuhusu mfumo, pangilia vitufe muhimu kwenye utawalaji wa mchezo, rekebisha mipangilio ya sauti au rekodi uchezaji wa mchezo. Zaidi ya hiyo, teknolojia ya ROG GameFirst III inaboresha kasi ya mtandao ili kuleta uchezaji wa michezo ya kompyuta wa kwenye mtandao wa kasi, usiokwama. Chagua kati ya modi nne za kipaumbele zilizopo (Uboreshaji, Mchezo, Kustrimu Media, na Ushirikishaji wa Faili) kutoka kwenye uso wake halisi.

  PICHA YA PANDE TATU KATIKA MCHEZO SAUTI

  ROG Strix GL753 ina spika zinazoelekeza sauti kwako na kufanya michezo iwe na uhalisia.

  © 2016 Shirika la NVIDIA. NVIDIA, nembo ya NVIDIA, na GeForce, GTX, na NVIDIA GameWorks ni alama za kibiashara au alama za biashara zilizosajiliwa za shirika la NVIDIA. Haki Zote Zimehifadhiwa.